Isaya 1:4 Tafsiri ya Ulimwegu Mpya 4 Ole kwa taifa lenye dhambi,+Watu waliolemewa na dhambi,Uzao wa watu waovu, watoto waliopotoka! Wamemwacha Yehova;+Wamemvunjia heshima Mtakatifu wa Israeli;Wamemgeuzia migongo yao.
4 Ole kwa taifa lenye dhambi,+Watu waliolemewa na dhambi,Uzao wa watu waovu, watoto waliopotoka! Wamemwacha Yehova;+Wamemvunjia heshima Mtakatifu wa Israeli;Wamemgeuzia migongo yao.