-
Isaya 19:23Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
23 Siku hiyo kutakuwa na barabara kuu+ kutoka Misri kwenda Ashuru. Kisha Ashuru itakuja Misri, na Misri itaenda Ashuru; na Misri itamtumikia Mungu pamoja na Ashuru.
-