-
Yeremia 32:43Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
43 Na mashamba yatanunuliwa tena katika nchi hii,+ ingawa mnasema: “Ni nchi yenye ukiwa isiyo na mwanadamu wala mnyama, nayo imetiwa mikononi mwa Wakaldayo.”’
-