Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Isaya 1:16
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 16 Jiosheni, jisafisheni;+

      Ondoeni matendo yenu maovu mbele za macho yangu;

      Acheni kutenda mabaya.+

  • Yeremia 25:5
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 5 Walikuwa wakisema, ‘Tafadhali, geukeni kila mmoja wenu kutoka katika njia zenu za uovu na matendo yenu maovu;+ nanyi mtaendelea kukaa kwa muda mrefu katika nchi ambayo Yehova aliwapa ninyi na mababu zenu zamani.

  • Ezekieli 18:30
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 30 “‘Kwa hiyo, nitamhukumu kila mmoja wenu kulingana na njia zake,+ enyi watu wa nyumba ya Israeli,’ asema Bwana Mwenye Enzi Kuu Yehova. ‘Acheni, naam, acheni kabisa makosa yenu yote, ili yasiwe kikwazo kinachowaletea hatia.

  • Hosea 14:1
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 14 “Enyi Waisraeli, mrudieni Yehova Mungu wenu,+

      Kwa maana mmejikwaa kwa sababu ya kosa lenu.

Tanzanian sign language publications (2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki