-
Isaya 5:1Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
5 Tafadhali, acha nimwimbie mpenzi wangu
Wimbo kuhusu mpenzi wangu na shamba lake la mizabibu.+
Mpenzi wangu alikuwa na shamba la mizabibu kwenye kilima kinachozaa sana.
-
-
Isaya 5:7Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
7 Kwa maana shamba la mizabibu la Yehova wa majeshi ni nyumba ya Israeli;+
Watu wa Yuda ndilo shamba alilolipenda sana.
-
-
Yeremia 6:3Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
3 Wachungaji watakuja na mifugo yao.
-