Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Danieli 2:37, 38
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 37 Wewe, Ee mfalme—mfalme wa wafalme ambaye Mungu wa mbinguni amekupa ufalme,+ uwezo, nguvu, na utukufu, 38 na kuwaweka mikononi mwako wanadamu mahali popote ambapo huenda wanaishi, na pia wanyama wa mwituni na ndege wa angani, na kukufanya kuwa mtawala juu ya hao wote+—wewe mwenyewe ndiye kichwa cha dhahabu.+

  • Danieli 7:4
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 4 “Wa kwanza alikuwa kama simba,+ naye alikuwa na mabawa ya tai.+ Nikatazama mpaka mabawa yake yakang’olewa, akainuliwa kutoka duniani na kusimamishwa kwa miguu miwili kama mwanadamu, naye akapewa moyo wa mwanadamu.

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki