-
Marko 6:20Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
20 Kwa maana Herode alimwogopa Yohana kwa kuwa alijua ni mtu mwadilifu na mtakatifu,+ naye alikuwa akimlinda. Baada ya kumsikiliza, hakujua la kufanya, lakini bado aliendelea kumsikiliza kwa furaha.
-
-
Luka 1:67Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
67 Kisha Zekaria baba yake akajazwa roho takatifu, naye akatoa unabii huu:
-