-
Matendo 2:1Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
2 Basi siku ya Sherehe ya Pentekoste+ ilipokuwa ikiendelea, wote walikuwa pamoja mahali palepale.
-
-
1 Wakorintho 12:13Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
13 Kwa maana kwa roho moja sote tulibatizwa katika mwili mmoja, iwe ni Wayahudi au ni Wagiriki, iwe ni watumwa au ni walio huru, nasi sote tulinyweshwa roho moja.
-