-
Yohana 1:26, 27Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
26 Yohana akawajibu: “Mimi ninabatiza katika maji. Kuna mtu aliyesimama miongoni mwenu msiyemjua, 27 yule anayekuja nyuma yangu, ambaye sistahili kufungua kamba za viatu vyake.”+
-
-
Matendo 13:25Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
25 Lakini Yohana alipokuwa akimalizia huduma yake, akawa akisema: ‘Mnadhani mimi ni nani? Mimi siye. Lakini tazameni! kuna Mtu anayekuja baada yangu ambaye sistahili kuvifungua viatu vya miguu yake.’+
-