53 Kisha wakampeleka Yesu kwa kuhani mkuu,+ nao wakuu wote wa makuhani, wazee, na waandishi wakakusanyika.+54 Lakini Petro akamfuata kwa mbali mpaka kwenye ua wa kuhani mkuu; akaketi pamoja na watumishi wa nyumbani akiota moto mwangavu.+
54 Ndipo wakamkamata,+ na kumpeleka nyumbani kwa kuhani mkuu; lakini Petro alikuwa akiwafuata kwa mbali.+55 Walipowasha moto katikati ya ua na kuketi chini pamoja, Petro alikuwa ameketi miongoni mwao.+