Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mathayo 26:57, 58
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 57 Wale waliomkamata Yesu wakampeleka kwa Kayafa+ kuhani mkuu, ambako waandishi na wazee walikuwa wamekusanyika.+ 58 Lakini Petro akaendelea kumfuata kwa mbali, mpaka katika ua wa kuhani mkuu, na baada ya kuingia ndani, akaketi pamoja na watumishi wa nyumbani ili aone itakavyokuwa.+

  • Marko 14:53, 54
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 53 Kisha wakampeleka Yesu kwa kuhani mkuu,+ nao wakuu wote wa makuhani, wazee, na waandishi wakakusanyika.+ 54 Lakini Petro akamfuata kwa mbali mpaka kwenye ua wa kuhani mkuu; akaketi pamoja na watumishi wa nyumbani akiota moto mwangavu.+

  • Yohana 18:15
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 15 Sasa Simoni Petro na mwanafunzi mwingine wakamfuata Yesu.+ Mwanafunzi huyo alijulikana na kuhani mkuu, naye akaingia pamoja na Yesu ndani ya ua wa kuhani mkuu,

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki