Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mathayo 26:57
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 57 Wale waliomkamata Yesu wakampeleka kwa Kayafa+ kuhani mkuu, ambako waandishi na wazee walikuwa wamekusanyika.+

  • Yohana 18:13
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 13 Kwanza wakampeleka kwa Anasi, kwa maana alikuwa baba mkwe wa Kayafa,+ ambaye alikuwa kuhani mkuu mwaka huo.+

  • Yohana 18:24
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 24 Kisha Anasi akaagiza Yesu apelekwe kwa kuhani mkuu Kayafa,+ akiwa amefungwa.

  • Matendo 4:5, 6
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 5 Siku iliyofuata watawala wao, wazee, na waandishi wakakusanyika pamoja huko Yerusalemu 6 pamoja na Anasi+ mkuu wa makuhani, Kayafa,+ Yohana, Aleksanda, na wote waliokuwa watu wa ukoo wa mkuu wa makuhani.

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki