Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mathayo 10:17, 18
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 17 Jihadharini na watu, kwa maana watawapeleka mahakamani+ na kuwapiga mijeledi+ katika masinagogi+ yao. 18 Nanyi mtapelekwa mbele ya magavana na wafalme+ kwa ajili yangu, ili kuwa ushahidi kwao na kwa mataifa.+

  • Mathayo 24:9
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 9 “Kisha watu watawakabidhi kwenye dhiki+ na kuwaua ninyi,+ nanyi mtachukiwa na mataifa yote kwa sababu ya jina langu.+

  • Marko 13:9
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 9 “Lakini ninyi jihadharini. Watu watawapeleka mahakamani,+ nanyi mtapigwa katika masinagogi+ na kusimamishwa mbele ya magavana na wafalme kwa ajili yangu, ili kuwa ushahidi kwao.+

  • Matendo 25:23
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 23 Basi kesho yake, Agripa na Bernike wakaja kwa fahari nyingi na kuingia katika ukumbi wa baraza pamoja na viongozi wa jeshi na vilevile wanaume mashuhuri wa jiji; naye Festo alipotoa amri, Paulo akaletwa.

  • Ufunuo 2:10
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki