-
Luka 3:19, 20Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
19 Yohana alikuwa amemkaripia Herode mtawala wa wilaya kwa kumchukua Herodia mke wa ndugu yake na kwa sababu ya matendo yote maovu ambayo Herode alikuwa amefanya, 20 aliongeza hili pia kwenye matendo hayo yote: Alimfunga Yohana gerezani.+
-