-
Kumbukumbu la Torati 4:25, 26Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
25 “Ikiwa mtazaa wana na wajukuu na kuishi kwa muda mrefu nchini nanyi mtende upotovu na kutengeneza sanamu ya kuchongwa+ ya aina yoyote na kutenda uovu machoni pa Yehova Mungu wenu na hivyo kumkasirisha,+ 26 nachukua mbingu na dunia ili ziwe mashahidi dhidi yenu leo ya kwamba kwa hakika mtaangamia haraka kutoka katika nchi mnayovuka Yordani kwenda kuimiliki. Hamtaishi kwa muda mrefu katika nchi hiyo, badala yake mtaangamizwa kabisa.+
-