Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mathayo 7:15
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 15 “Jihadharini na manabii wa uwongo+ ambao huja kwenu katika mavazi ya kondoo,+ lakini ndani wao ni mbwamwitu wakali.+

  • Mathayo 7:22, 23
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 22 Wengi wataniambia siku hiyo: ‘Bwana, Bwana,+ je, hatukutoa unabii katika jina lako, na kufukuza roho waovu katika jina lako, na kufanya matendo mengi yenye nguvu katika jina lako?’+ 23 Ndipo nitakapowaambia: ‘Sikuwajua ninyi kamwe! Ondokeni kwangu, ninyi mnaotenda uasi sheria!’+

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki