Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 7:11, 12
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 11 Hata hivyo, Farao akawaita watu wenye hekima na walozi, na makuhani wachawi wa Misri+ nao pia wakafanya muujiza huohuo kwa uchawi wao.*+ 12 Kila mmoja wao akatupa chini fimbo yake, nazo zikawa nyoka wakubwa; lakini fimbo ya Haruni ikazimeza fimbo zao.

  • Kutoka 9:11
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 11 Makuhani wachawi hawakuweza kusimama mbele ya Musa kwa sababu ya majipu hayo, kwa maana makuhani wachawi na Wamisri wote walikuwa wamepatwa na majipu hayo.+

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki