Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yohana 5:22
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 22 Kwa maana Baba hamhukumu mtu yeyote kamwe, bali amemkabidhi Mwana kazi yote ya kuhukumu,+

  • Matendo 17:31
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 31 Kwa sababu ameweka siku ambayo anakusudia kuihukumu+ kwa uadilifu dunia inayokaliwa kupitia mwanamume ambaye amemweka rasmi, naye ametoa uhakikisho kamili kwa watu wote kwa kuwa amemfufua kutoka kwa wafu.”+

  • 2 Wakorintho 5:10
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 10 Kwa maana lazima sisi sote tusimame* mbele ya kiti cha hukumu cha Kristo, ili kila mmoja apate malipo kulingana na mambo aliyotenda akiwa katika mwili, yawe mema au mabaya.*+

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki