Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Matendo 17:31
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 31 Kwa sababu ameweka siku ambayo anakusudia kuihukumu+ kwa uadilifu dunia inayokaliwa kupitia mwanamume ambaye amemweka rasmi, naye ametoa uhakikisho kamili kwa watu wote kwa kuwa amemfufua kutoka kwa wafu.”+

  • Waroma 2:16
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 16 Hili litatendeka siku ambayo Mungu kupitia Kristo Yesu atahukumu mambo ya siri ya wanadamu,+ kulingana na habari njema ninayoitangaza.

  • Waroma 14:12
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 12 Hivyo basi, kila mmoja wetu atatoa hesabu kwa Mungu kwa ajili yake mwenyewe.+

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki