Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ayubu 29:12, 13
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 12 Kwa maana nilimwokoa maskini aliyelilia msaada,+

      Pamoja na yatima na yeyote ambaye hakuwa na msaidizi.+

      13 Mtu aliyekaribia kuangamia alinibariki,+

      Nami niliufanya moyo wa mjane ushangilie.+

  • Isaya 58:7
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    •  7 Ni kumgawia aliye na njaa mkate wako,+

      Kuwaleta maskini na wasio na makao nyumbani mwako,

      Kumvisha aliye uchi unapokutana naye,+

      Na kutowageuzia mgongo watu wako wa ukoo.

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki