Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Zaburi 90:2
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    •  2 Kabla milima haijazaliwa

      Au kabla hujaiumba* dunia na nchi inayozaa,+

      Tangu milele hadi milele, wewe ni Mungu.+

  • Danieli 12:7
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 7 Kisha nikamsikia yule mwanamume aliyevaa mavazi ya kitani, aliyekuwa juu ya maji ya kijito, alipokuwa akiinua mkono wake wa kulia na mkono wake wa kushoto kuelekea mbinguni na kuapa hivi kwa jina la Yule anayeishi milele:+ “Itakuwa ni kwa wakati uliowekwa, nyakati zilizowekwa, na nusu ya wakati.* Mara tu kuvunjwavunjwa kwa nguvu za watu watakatifu kutakapofikia mwisho,+ mambo haya yote yatafikia mwisho wake.”

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki