Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yeremia 50
  • Tafsiri ya Ulimwegu Mpya

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

Yeremia—Yaliyomo

      • Unabii dhidi ya Babiloni (1-46)

        • Kimbieni kutoka Babiloni (8)

        • Watu wa Israeli watarudishwa (17-19)

        • Maji ya Babiloni yatakaushwa kabisa (38)

        • Babiloni halitakaliwa tena (39, 40)

Yeremia 50:1

Marejeo

  • +Isa 13:1

Yeremia 50:2

Maelezo ya Chini

  • *

    Au “nguzo ya ishara.”

  • *

    Huenda neno la Kiebrania linahusiana na neno “mavi,” nalo hutumiwa kuonyesha dharau.

Marejeo

  • +Yer 51:8; Ufu 14:8
  • +Isa 46:1; Yer 51:44

Yeremia 50:3

Marejeo

  • +Isa 13:17; Yer 51:11, 48

Yeremia 50:4

Marejeo

  • +Isa 11:12; Yer 3:18; Ho. 1:11
  • +Yer 31:8, 9
  • +Ho. 3:5

Yeremia 50:5

Marejeo

  • +Isa 35:10
  • +Yer 31:31

Yeremia 50:6

Marejeo

  • +Isa 53:6
  • +Yer 10:21; 23:2; Eze 34:2, 6

Yeremia 50:7

Marejeo

  • +Zb 79:6, 7

Yeremia 50:8

Marejeo

  • +Isa 48:20; Yer 51:6, 45; Zek 2:7; 2Ko 6:17; Ufu 18:2, 4

Yeremia 50:9

Marejeo

  • +Isa 21:2; Yer 51:11, 27, 28, 48; Da 5:28, 30
  • +Isa 13:17, 18

Yeremia 50:10

Marejeo

  • +Yer 25:12; 27:6, 7
  • +Ufu 17:16

Yeremia 50:11

Marejeo

  • +Omb 1:21
  • +Isa 14:4-6; 47:6; Yer 30:16

Yeremia 50:12

Marejeo

  • +Isa 47:8
  • +Isa 13:20, 21

Yeremia 50:13

Marejeo

  • +Zek 1:15
  • +Yer 25:12
  • +Yer 51:37

Yeremia 50:14

Maelezo ya Chini

  • *

    Tnn., “mnaoukanyaga.”

Marejeo

  • +Isa 13:18; Yer 51:11
  • +Yer 51:35, 36

Yeremia 50:15

Maelezo ya Chini

  • *

    Tnn., “Amempa mkono wake.”

Marejeo

  • +Yer 51:58
  • +Yer 51:6, 11
  • +Zb 137:8; Ufu 18:6

Yeremia 50:16

Marejeo

  • +Yer 51:23
  • +Isa 13:14; Yer 51:9

Yeremia 50:17

Maelezo ya Chini

  • *

    Tnn., “Nebukadreza,” njia nyingine ya kuandika jina hili.

Marejeo

  • +Yer 23:1; 50:6; Eze 34:5
  • +Yer 2:15
  • +2Fa 17:6; Isa 8:7
  • +2Fa 25:1; 2Nya 36:17; Yer 4:7

Yeremia 50:18

Marejeo

  • +2Fa 19:35; Isa 14:25; Sef 2:13

Yeremia 50:19

Marejeo

  • +Isa 11:16; 65:10; Yer 23:3; 33:7; Eze 34:14; Mik 2:12
  • +Mik 7:14
  • +Yer 31:6
  • +Oba 19

Yeremia 50:20

Marejeo

  • +Isa 44:22; Yer 31:34; Mik 7:19

Yeremia 50:21

Maelezo ya Chini

  • *

    Au “uwaangamize.”

Marejeo

  • +Eze 23:22, 23

Yeremia 50:23

Marejeo

  • +Isa 14:5, 6; Yer 51:20
  • +Yer 51:41; Ufu 18:15, 16

Yeremia 50:24

Marejeo

  • +Yer 51:31; Da 5:30; Ufu 18:8

Yeremia 50:25

Marejeo

  • +Isa 13:5; Yer 51:11

Yeremia 50:26

Marejeo

  • +Yer 51:27
  • +Yer 50:10
  • +Isa 14:22, 23

Yeremia 50:27

Maelezo ya Chini

  • *

    Au “kuwajibishwa.”

Marejeo

  • +Isa 34:6, 7; Eze 39:18

Yeremia 50:28

Marejeo

  • +Zb 94:1; Yer 51:11

Yeremia 50:29

Maelezo ya Chini

  • *

    Tnn., “wanaoukanyaga.”

Marejeo

  • +Yer 50:14
  • +Zb 137:8; Yer 51:56
  • +Omb 3:64; Ufu 18:6
  • +Isa 14:13

Yeremia 50:30

Maelezo ya Chini

  • *

    Tnn., “watanyamazishwa.”

Marejeo

  • +Isa 13:17, 18

Yeremia 50:31

Maelezo ya Chini

  • *

    Au “wakati ambao nitakuadhibu.”

Marejeo

  • +Yer 51:25
  • +Isa 14:13; Da 4:30

Yeremia 50:32

Marejeo

  • +Yer 51:26

Yeremia 50:33

Marejeo

  • +Isa 47:6
  • +Isa 14:17

Yeremia 50:34

Marejeo

  • +Isa 41:14; Ufu 18:8
  • +Isa 47:4
  • +Omb 3:59
  • +Isa 14:3, 4
  • +Yer 51:24

Yeremia 50:35

Marejeo

  • +Isa 47:13; Yer 51:57; Da 5:7

Yeremia 50:36

Maelezo ya Chini

  • *

    Au “manabii wa uwongo.”

Marejeo

  • +Yer 51:30

Yeremia 50:37

Marejeo

  • +Isa 13:8
  • +Isa 45:3

Yeremia 50:38

Marejeo

  • +Isa 44:27; Yer 51:36, 37; Ufu 16:12
  • +Isa 46:1; Yer 51:44, 52; Da 5:1, 4

Yeremia 50:39

Marejeo

  • +Isa 13:20, 21; Yer 51:37; Ufu 18:2
  • +Yer 25:12; 51:43, 64

Yeremia 50:40

Marejeo

  • +Isa 13:19
  • +Mwa 19:24, 25; Yud 7
  • +Yer 51:26

Yeremia 50:41

Marejeo

  • +Isa 45:1; Yer 51:11, 27, 28
  • +Isa 13:5, 17

Yeremia 50:42

Marejeo

  • +Yer 50:9
  • +Zb 137:8; Isa 13:17, 18
  • +Yer 51:42
  • +Yer 51:27

Yeremia 50:43

Marejeo

  • +Yer 51:31
  • +Da 5:6

Yeremia 50:44

Marejeo

  • +Isa 41:25
  • +Yer 49:19-21

Yeremia 50:45

Maelezo ya Chini

  • *

    Au “shauri ambalo.”

Marejeo

  • +Yer 51:11
  • +Isa 13:1, 20; Yer 51:43

Yeremia 50:46

Marejeo

  • +Ufu 18:9

Jumla

Yer. 50:1Isa 13:1
Yer. 50:2Yer 51:8; Ufu 14:8
Yer. 50:2Isa 46:1; Yer 51:44
Yer. 50:3Isa 13:17; Yer 51:11, 48
Yer. 50:4Isa 11:12; Yer 3:18; Ho. 1:11
Yer. 50:4Yer 31:8, 9
Yer. 50:4Ho. 3:5
Yer. 50:5Isa 35:10
Yer. 50:5Yer 31:31
Yer. 50:6Isa 53:6
Yer. 50:6Yer 10:21; 23:2; Eze 34:2, 6
Yer. 50:7Zb 79:6, 7
Yer. 50:8Isa 48:20; Yer 51:6, 45; Zek 2:7; 2Ko 6:17; Ufu 18:2, 4
Yer. 50:9Isa 21:2; Yer 51:11, 27, 28, 48; Da 5:28, 30
Yer. 50:9Isa 13:17, 18
Yer. 50:10Yer 25:12; 27:6, 7
Yer. 50:10Ufu 17:16
Yer. 50:11Omb 1:21
Yer. 50:11Isa 14:4-6; 47:6; Yer 30:16
Yer. 50:12Isa 47:8
Yer. 50:12Isa 13:20, 21
Yer. 50:13Zek 1:15
Yer. 50:13Yer 25:12
Yer. 50:13Yer 51:37
Yer. 50:14Isa 13:18; Yer 51:11
Yer. 50:14Yer 51:35, 36
Yer. 50:15Yer 51:58
Yer. 50:15Yer 51:6, 11
Yer. 50:15Zb 137:8; Ufu 18:6
Yer. 50:16Yer 51:23
Yer. 50:16Isa 13:14; Yer 51:9
Yer. 50:17Yer 23:1; 50:6; Eze 34:5
Yer. 50:17Yer 2:15
Yer. 50:172Fa 17:6; Isa 8:7
Yer. 50:172Fa 25:1; 2Nya 36:17; Yer 4:7
Yer. 50:182Fa 19:35; Isa 14:25; Sef 2:13
Yer. 50:19Isa 11:16; 65:10; Yer 23:3; 33:7; Eze 34:14; Mik 2:12
Yer. 50:19Mik 7:14
Yer. 50:19Yer 31:6
Yer. 50:19Oba 19
Yer. 50:20Isa 44:22; Yer 31:34; Mik 7:19
Yer. 50:21Eze 23:22, 23
Yer. 50:23Isa 14:5, 6; Yer 51:20
Yer. 50:23Yer 51:41; Ufu 18:15, 16
Yer. 50:24Yer 51:31; Da 5:30; Ufu 18:8
Yer. 50:25Isa 13:5; Yer 51:11
Yer. 50:26Yer 51:27
Yer. 50:26Yer 50:10
Yer. 50:26Isa 14:22, 23
Yer. 50:27Isa 34:6, 7; Eze 39:18
Yer. 50:28Zb 94:1; Yer 51:11
Yer. 50:29Yer 50:14
Yer. 50:29Zb 137:8; Yer 51:56
Yer. 50:29Omb 3:64; Ufu 18:6
Yer. 50:29Isa 14:13
Yer. 50:30Isa 13:17, 18
Yer. 50:31Yer 51:25
Yer. 50:31Isa 14:13; Da 4:30
Yer. 50:32Yer 51:26
Yer. 50:33Isa 47:6
Yer. 50:33Isa 14:17
Yer. 50:34Isa 41:14; Ufu 18:8
Yer. 50:34Isa 47:4
Yer. 50:34Omb 3:59
Yer. 50:34Isa 14:3, 4
Yer. 50:34Yer 51:24
Yer. 50:35Isa 47:13; Yer 51:57; Da 5:7
Yer. 50:36Yer 51:30
Yer. 50:37Isa 13:8
Yer. 50:37Isa 45:3
Yer. 50:38Isa 44:27; Yer 51:36, 37; Ufu 16:12
Yer. 50:38Isa 46:1; Yer 51:44, 52; Da 5:1, 4
Yer. 50:39Isa 13:20, 21; Yer 51:37; Ufu 18:2
Yer. 50:39Yer 25:12; 51:43, 64
Yer. 50:40Isa 13:19
Yer. 50:40Mwa 19:24, 25; Yud 7
Yer. 50:40Yer 51:26
Yer. 50:41Isa 45:1; Yer 51:11, 27, 28
Yer. 50:41Isa 13:5, 17
Yer. 50:42Yer 50:9
Yer. 50:42Zb 137:8; Isa 13:17, 18
Yer. 50:42Yer 51:42
Yer. 50:42Yer 51:27
Yer. 50:43Yer 51:31
Yer. 50:43Da 5:6
Yer. 50:44Isa 41:25
Yer. 50:44Yer 49:19-21
Yer. 50:45Yer 51:11
Yer. 50:45Isa 13:1, 20; Yer 51:43
Yer. 50:46Ufu 18:9
  • Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10
  • 11
  • 12
  • 13
  • 14
  • 15
  • 16
  • 17
  • 18
  • 19
  • 20
  • 21
  • 22
  • 23
  • 24
  • 25
  • 26
  • 27
  • 28
  • 29
  • 30
  • 31
  • 32
  • 33
  • 34
  • 35
  • 36
  • 37
  • 38
  • 39
  • 40
  • 41
  • 42
  • 43
  • 44
  • 45
  • 46
Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
Yeremia 50:1-46

Yeremia

50 Neno ambalo Yehova alisema kuhusu Babiloni,+ kuhusu nchi ya Wakaldayo, kupitia nabii Yeremia:

 2 “Semeni jambo hili kati ya mataifa na mlitangaze.

Inueni ishara* na mlitangaze.

Msifiche jambo lolote!

Semeni, ‘Babiloni ametekwa.+

Beli ameaibishwa.+

Merodaki ameshikwa na hofu.

Sanamu zake zimeaibishwa.

Sanamu zake zinazochukiza* zimeshikwa na hofu.’

 3 Kwa maana taifa limemshambulia kutoka kaskazini.+

Linaifanya nchi yake kuwa kitu cha kutisha;

Hakuna mtu anayekaa ndani yake.

Mwanadamu na pia mnyama wamekimbia;

Wameenda zao.”

4 “Siku hizo na wakati huo,” asema Yehova, “watu wa Israeli na watu wa Yuda watakuja pamoja.+ Watatembea wakilia,+ na pamoja watamtafuta Yehova Mungu wao.+ 5 Watauliza njia ya kwenda Sayuni, nyuso zao zikiwa zimeelekezwa upande huo,+ wakisema, ‘Njooni, tujiunge na Yehova katika agano la milele ambalo halitasahauliwa.’+ 6 Watu wangu wamekuwa kundi la kondoo waliopotea.+ Wachungaji wao wenyewe waliwafanya wapotee.+ Waliwapeleka kwenye milima, wakitangatanga kutoka mlima mpaka kilima. Wamepasahau mahali pao pa kupumzika. 7 Wale wote wanaowapata wamewanyafua,+ na maadui wao wamesema, ‘Hatuna hatia, kwa sababu walimtendea dhambi Yehova, walimtendea dhambi Yehova ambaye ni makao ya uadilifu na tumaini la mababu zao.’”

 8 “Kimbieni kutoka Babiloni,

Tokeni katika nchi ya Wakaldayo,+

Na muwe kama wanyama wanaolitangulia kundi.

 9 Kwa maana sasa ninaamsha na kuleta dhidi ya Babiloni

Kusanyiko la mataifa makubwa kutoka katika nchi ya kaskazini.+

Watamshambulia wakiwa wamejipanga kivita;

Kutoka hapo atatekwa.

Mishale yao ni kama ya shujaa

Inayosababisha wazazi wafiwe na watoto;+

Hairudi bila matokeo.

10 Ukaldayo itakuwa nyara.+

Wale wote wanaochukua nyara kutoka kwake watashiba kabisa,”+ asema Yehova.

11 “Kwa maana mliendelea kushangilia,+ mliendelea kufurahi

Mlipokuwa mkiupora urithi wangu mwenyewe.+

Kwa maana mliendelea kukanyagakanyaga kama ndama jike kwenye nyasi,

Nanyi mkaendelea kulia kama farasi dume.

12 Mama yenu ameaibishwa.+

Yule aliyewazaa amekata tamaa.

Tazameni! Yeye ndiye mdogo zaidi kati ya mataifa,

Nyika isiyo na maji na ambayo ni jangwa.+

13 Kwa sababu ya ghadhabu ya Yehova hatakaliwa;+

Atakuwa ukiwa kabisa.+

Yeyote anayepita kando ya Babiloni atatazama kwa hofu

Na kupiga mluzi kwa sababu ya mapigo yake yote.+

14 Mshambulieni Babiloni mkiwa mmejipanga kivita kila upande,

Ninyi nyote mnaoupinda* upinde.

Mpigeni mishale, msiuache mshale wowote,+

Kwa maana amemtendea dhambi Yehova.+

15 Mpigieni kelele za vita kila upande.

Amejisalimisha.*

Nguzo zake zimeanguka, kuta zake zimebomolewa,+

Kwa maana ni kisasi cha Yehova.+

Jilipizieni kisasi dhidi yake.

Mtendeeni kama alivyotenda.+

16 Mkatilieni mbali mpandaji wa mbegu kutoka Babiloni

Na yule anayebeba mundu wakati wa mavuno.+

Kwa sababu ya upanga ulio katili, kila mtu atarudi kwa watu wake mwenyewe,

Kila mtu atakimbilia nchi yake mwenyewe.+

17 “Watu wa Israeli ni kondoo+ waliotawanyika. Simba wamewatawanya.+ Kwanza mfalme wa Ashuru aliwanyafua;+ kisha Mfalme Nebukadneza* wa Babiloni akaguguna mifupa yao.+ 18 Kwa hiyo Yehova wa majeshi, Mungu wa Israeli, anasema hivi: ‘Nitamtendea mfalme wa Babiloni na nchi yake kama nilivyomtendea mfalme wa Ashuru.+ 19 Nami nitamrudisha Israeli kwenye malisho yake,+ naye atalisha juu ya Karmeli na juu ya Bashani,+ naye atashiba kwenye milima ya Efraimu+ na ya Gileadi.’”+

20 “Siku hizo na wakati huo,” asema Yehova,

“Hatia ya Israeli itatafutwa,

Lakini hakutakuwa na hatia yoyote,

Na dhambi za Yuda hazitapatikana,

Kwa maana nitawasamehe wale nitakaowaacha wabaki.”+

21 “Panda ukashambulie nchi ya Merathaimu na wakaaji wa Pekodi.+

Acha wauawe na kuangamizwa* kabisa,” asema Yehova.

“Fanya yote niliyokuamuru.

22 Kuna sauti ya vita nchini,

Msiba mkubwa.

23 Jinsi nyundo ya chuma ya dunia yote ilivyokatwa na kuvunjwa!+

Jinsi ambavyo Babiloni amekuwa kitu cha kutisha kati ya mataifa!+

24 Nimekutegea mtego, nawe umenaswa, Ee Babiloni,

Nawe hukujua.

Ulipatikana na kukamatwa,+

Kwa maana ulimpinga Yehova.

25 Yehova amefungua ghala lake,

Naye anatoa silaha za ghadhabu yake.+

Kwa maana Bwana Mwenye Enzi Kuu, Yehova wa majeshi, ana kazi

Katika nchi ya Wakaldayo.

26 Mshambulieni kutoka sehemu za mbali.+

Fungueni maghala yake.+

Mrundikeni kama marundo ya nafaka.

Mwangamizeni kabisa.+

Naye asiwe na mtu yeyote anayebaki.

27 Waueni ng’ombe dume wake wote wachanga;+

Na washuke kwenda machinjioni.

Ole wao, kwa maana siku yao imefika,

Wakati wao wa kuadhibiwa!*

28 Kuna sauti ya wale wanaokimbia,

Wale wanaoponyoka kutoka nchi ya Babiloni,

Ili kutangaza katika Sayuni kisasi cha Yehova Mungu wetu,

Kisasi kwa ajili ya hekalu lake.+

29 Waiteni wapiga-mishale dhidi ya Babiloni,

Wote wanaoupinda* upinde.+

Pigeni kambi kumzunguka; msiache yeyote aponyoke.

Mlipeni kulingana na matendo yake.+

Mtendeeni kama alivyotenda,+

Kwa maana ametenda kwa kiburi dhidi ya Yehova,

Dhidi ya Mtakatifu wa Israeli.+

30 Basi vijana wake wataanguka katika viwanja vyake vya jiji,+

Na wanajeshi wake wote wataangamia* siku hiyo,” asema Yehova.

31 “Tazama! Niko dhidi yako,+ ewe mkaidi,”+ asema Bwana Mwenye Enzi Kuu, Yehova wa majeshi,

“Kwa maana lazima siku yako itakuja, wakati ambapo nitakufanya uwajibike.*

32 Wewe, ewe mkaidi, utajikwaa na kuanguka,

Hakutakuwa na mtu wa kukuinua.+

Nami nitayawasha moto majiji yako,

Nao utateketeza kabisa kila kitu kinachokuzunguka.”

33 Yehova wa majeshi anasema hivi:

“Watu wa Israeli na Yuda wamekandamizwa,

Na wale wote wanaowachukua mateka wamewazuilia.+

Wamekataa kuwaachilia waende.+

34 Lakini Mkombozi wao ana nguvu.+

Yehova wa majeshi ndilo jina lake.+

Bila shaka atatetea kesi yao,+

Ili kuipumzisha nchi+

Na kuwafadhaisha wakaaji wa Babiloni.”+

35 “Kuna upanga dhidi ya Wakaldayo,” asema Yehova,

“Dhidi ya wakaaji wa Babiloni na dhidi ya wakuu wake na dhidi ya watu wake wenye hekima.+

36 Kuna upanga dhidi ya wale wanaoongea maneno matupu,* nao watatenda kipumbavu.

Kuna upanga dhidi ya mashujaa wake, nao watashikwa na hofu.+

37 Kuna upanga dhidi ya farasi wao na magari yao ya vita,

Na dhidi ya watu wa mataifa mbalimbali waliochangamana nao,

Nao watakuwa kama wanawake.+

Kuna upanga dhidi ya hazina zake, nazo zitaporwa.+

38 Kuna uharibifu dhidi ya maji yake, nayo yatakaushwa.+

Kwa maana ni nchi ya sanamu za kuchongwa,+

Na kwa sababu ya maono yao yanayotisha wanaendelea kutenda kiwazimu.

39 Kwa hiyo, viumbe wa jangwani watakaa pamoja na wanyama wanaopiga mayowe,

Na mbuni watakaa ndani yake.+

Hakutakuwa na wakaaji tena ndani yake,

Wala watu hawataishi humo kwa vizazi vyote.”+

40 “Kama Mungu alivyoangamiza Sodoma na Gomora+ na miji jirani,”+ asema Yehova, “hakuna mtu atakayekaa huko, na hakuna mtu atakayeishi huko.+

41 Tazama! Watu wanakuja kutoka kaskazini;

Taifa kubwa na wafalme wakuu+ watainuliwa

Kutoka sehemu za mbali zaidi za dunia.+

42 Wanatumia upinde na mkuki.+

Ni wakatili na hawataonyesha rehema.+

Sauti yao ni kama bahari inayovuma,+

Wakiwa wamepanda farasi wao.

Wamejipanga kivita kama mtu mmoja dhidi yako, ewe binti ya Babiloni.+

43 Mfalme wa Babiloni amesikia habari kuwahusu,+

Na mikono yake imelegea.+

Amepata maumivu,

Uchungu kama wa mwanamke anayezaa.

44 “Tazama! Kama simba anayetoka kwenye vichaka vikubwa kando ya Yordani, mtu fulani atayashambulia malisho yaliyo salama, lakini kwa muda mfupi nitawafanya Waedomu wakimbie kutoka nchini. Nami nitaweka juu ya nchi hiyo yule aliyechaguliwa.+ Kwa maana ni nani aliye kama mimi, na ni nani atakayenipinga? Ni mchungaji gani anayeweza kusimama mbele zangu?+ 45 Kwa hiyo sikieni, enyi watu, uamuzi ambao* Yehova amefanya dhidi ya Babiloni+ na mawazo yake dhidi ya nchi ya Wakaldayo.

Hakika walio wadogo katika kundi watakokotwa.

Atayafanya makao yao yabaki ukiwa kwa sababu yao.+

46 Sauti ya kutekwa kwa Babiloni itafanya dunia itetemeke,

Na kilio kitasikika kati ya mataifa.”+

Tanzanian sign language publications (2020-2026)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki