Tafsiri ya Ulimwegu Mpya 1 Wathesalonike—Yaliyomo 1 WATHESALONIKE YALIYOMO 1 Salamu (1) Shukrani kwa ajili ya imani ya Wathesalonike (2-10) 2 Huduma ya Paulo huko Thesalonike (1-12) Wathesalonike walilikubali neno la Mungu (13-16) Paulo atamani kuwaona Wathesalonike (17-20) 3 Paulo asubiri ripoti kwa hamu akiwa Athene (1-5) Ripoti ya Timotheo yenye kufariji (6-10) Sala kwa ajili ya Wathesalonike (11-13) 4 Onyo dhidi ya uasherati (1-8) Kupendana kikamili zaidi (9-12) “Kushughulika na mambo yenu wenyewe” (11) Waliokufa katika Kristo watafufuliwa kwanza (13-18) 5 Kuja kwa siku ya Yehova (1-5) “Amani na usalama!” (3) Kaeni macho, tunzeni akili zenu (6-11) Himizo (12-24) Salamu za mwisho (25-28)