Tafsiri ya Ulimwegu Mpya 1 Yohana—Yaliyomo 1 YOHANA YALIYOMO 1 Neno la uzima (1-4) Kutembea katika nuru (5-7) Uhitaji wa kuungama dhambi (8-10) 2 Yesu, dhabihu ya upatanisho (1, 2) Kushika amri zake (3-11) Amri ya zamani na amri mpya (7, 8) Sababu za kuandika (12-14) Msiupende ulimwengu (15-17) Onyo dhidi ya mpinga-Kristo (18-29) 3 Sisi ni watoto wa Mungu (1-3) Tofauti kati ya watoto wa Mungu na watoto wa Ibilisi (4-12) Yesu atazivunja kazi za Ibilisi (8) Mpendane (13-18) Mungu ni mkuu kuliko mioyo yetu (19-24) 4 Kuyajaribu maneno yaliyoongozwa na roho (1-6) Kumjua na kumpenda Mungu (7-21) “Mungu ni upendo” (8, 16) Hakuna woga katika upendo (18) 5 Kumwamini Yesu huushinda ulimwengu (1-12) Maana ya kumpenda Mungu (3) Uhakika katika nguvu za sala (13-17) Jihadharini katika ulimwengu mwovu (18-21) Ulimwengu mzima katika nguvu za yule mwovu (19)