WIMBO NA. 18
Tunathamini Fidia
- 1. Twasimama mbele - za kiti cha enzi, - Yah ulituonyesha - Upendo mkubwa. - Ulitoa Mwana wako - wa pekee. - Ni zawadi kubwa sana, - twaithamini. - (KORASI) - Alimwaga damu yake. - Tupate kuwekwa huru. - Twashukuru, - kwa moyo wetu wote milele. 
- 2. Kwa hiari Yesu - Katoa dhabihu. - Na kwa upendo katoa - Uhai wake. - Kafungua njia - Tupate wokovu. - Sasa tumaini la - uzima tunalo. - (KORASI) - Alimwaga damu yake. - Tupate kuwekwa huru. - Twashukuru, - kwa moyo wetu wote milele. 
(Ona pia Ebr. 9:13, 14; 1 Pet. 1:18, 19.)