JUA
(Ona pia Jua, Mfumo wa; Kuota Jua; Kupatwa kwa Jua au Mwezi; Nyota)
halijoto (kiwango cha joto):
katika kiini cha jua: w03 7/1 10-11; w99 6/15 19
halitegemei nyota nyingine: w07 2/15 4; g01 3/22 15-16
ibada ya jua:
Wainka: g98 1/8 13-14
jua la mfano:
“jua la uadilifu” (Mal 4:2): w07 12/15 29; jd 88, 188; re 155
‘lapigwa’ (Ufu 8:12): re 138, 140-141
‘latiwa giza kwa moshi wa shimo’ (Ufu 9:2): re 143-144
‘lawa jeusi’ (Ufu 6:12): re 109-110
‘lawaunguza wanadamu’ (Ufu 16:8, 9): re 225-227
‘malaika ambaye amesimama katika jua’ (Ufu 19:17): re 284-285
malaika mwenye uso kama jua (Ufu 10:1): re 155
“mwanamke aliyepambwa jua” (Ufu 12:1): re 178
Yehova ni “jua” (Zb 84:11): w09 5/1 14
jua lasimama tuli kwa ajili ya Yoshua: w04 12/1 11
jua linaandaa kiasi cha kutosha cha nguvu zinazohitajiwa na mimea na viumbe hai wa dunia: lc 5
jua linapowaka hata saa sita usiku (Aktiki na Antaktika): g05 5/22 31
kiasi cha mwangaza wa jua unaofikia dunia kinapungua: g05 2/22 29
kupatwa kwa jua: g02 8/22 21-24; g01 3/22 17-18
Afrika (2006): g 3/08 28-29
kutua kwa jua (machweo):
kwa nini rangi nyekundu: g 2/12 15
mimweko ya kijani kibichi na buluu: g97 2/22 30; g96 5/22 24
Monte Forato, Italia: w98 1/15 32
siku ya Wayahudi ilianza baada ya jua kushuka: w08 10/1 11
madhara ya kupigwa na jua kupita kiasi: g 6/09 10-11
maelezo: cl 47-49; g01 3/22 15-18
mashariki:
habari kutoka upande wa mashariki (Da 11:44): dp 281-283
‘matetemeko ya jua’: g99 2/22 29
mwangaza wa jua:
unaboresha mtazamo: g96 6/22 29
unaongeza vitamini D mwilini: g05 6/22 29
unavyoathiri zebaki: g96 12/8 28
watoto wachanga wanaoota jua mchana wanalala vizuri usiku: g05 10/22 29
nishati: w08 5/1 6; w05 11/15 15-16; w03 7/1 10-11; cl 48; w00 3/1 8-9; w99 6/15 19
jua linavyozalisha nishati: ct 89-90
kiasi kinachofika duniani: w04 6/1 11; g01 3/22 15; w97 6/1 24
nishati ya jua inavyohusika katika mzunguko wa maji: w09 1/1 14
nishati ya jua:
vifaa vinavyotumiwa kuzalisha nishati kutokana na miale jua: g 12/09 14; g05 3/8 7; g00 1/22 5
rangi: g 2/12 15
siku mbili za mwaka ambazo mchana na usiku zinalingana: g05 12/22 23
siku ndefu na siku fupi katika mwaka (solistasi): g05 12/22 23
mabomoko yanayokabili upande ambao jua huchomoza: g05 12/22 22-23
ukubwa: w08 5/1 6; w07 2/15 4; w04 6/1 11; cl 48-49; g01 3/22 16
umbali kutoka duniani: cl 47