- Habari za Kufanana na Zile
1
2
Daudi, mufalme juu ya Yuda (1-7)
Ish-bosheti, mufalme juu ya Israeli (8-11)
Vita kati ya nyumba ya Daudi na nyumba ya Sauli (12-32)
3
Nyumba ya Daudi inaendelea kupata nguvu (1)
Wana wa Daudi (2-5)
Abneri anajiunga na Daudi (6-21)
Yoabu anamuua Abneri (22-30)
Daudi anamuombolezea Abneri (31-39)
4
5
Daudi anafanywa kuwa mufalme juu ya Israeli yote (1-5)
Muji wa Yerusalemu unakamatwa (6-16)
Daudi anashinda Wafilisti (17-25)
6
7
Daudi hatajenga hekalu (1-7)
Agano pamoja na Daudi kwa ajili ya ufalme (8-17)
Sala ya Daudi ya shukrani (18-29)
8
9
10
11
Daudi anafanya uzinifu na Bat-sheba (1-13)
Daudi anafanya mipango ili Uria auawe (14-25)
Daudi anamuchukua Bat-sheba ili akuwe bibi yake (26, 27)
12
Natani anamukaripia Daudi (1-15a)
Mwana wa Bat-sheba anakufa (15b-23)
Bat-sheba anamuzaa Sulemani (24, 25)
Muji wa Raba wa Waamoni unakamatwa (26-31)
13
Amnoni anamulala Tamari kinguvu (1-22)
Absalomu anamuua Amnoni (23-33)
Absalomu anakimbilia Geshuri (34-39)
14
Yoabu na mwanamuke Mutekoa (1-17)
Daudi anavumbua mupango mubaya wa Yoabu (18-20)
Absalomu anaruhusiwa kurudia (21-33)
15
Mupango mubaya na uasi wa Absalomu (1-12)
Daudi anakimbia kutoka Yerusalemu (13-30)
Ahitofeli anajiunga na Absalomu (31)
Hushai anatumwa ili amuzuie Ahitofeli (32-37)
16
Siba anamuchongea Mefibosheti (1-4)
Shimei anamulaani Daudi (5-14)
Absalomu anamupokea Hushai (15-19)
Shauri la Ahitofeli (20-23)
17
18
19
Daudi anamuombolezea Absalomu (1-4)
Yoabu anamukaripia Daudi (5-8a)
Daudi anarudia Yerusalemu (8b-15)
Shimei anaomba musamaha (16-23)
Mefibosheti anaonekana kuwa hana hatia (24-30)
Barzilai anaonyeshwa heshima (31-40)
Ubishi kati ya makabila (41-43)
20
Uasi wa Sheba; Yoabu anamuua Amasa (1-13)
Sheba anafuatiliwa na kukatwa kichwa (14-22)
Namna utawala wa Daudi ulipangwa (23-26)
21
22
23
24
Zambi ya Daudi ya kuhesabia watu (1-14)
Ugonjwa wa kuambukiza unaua watu elfu makumi saba (15-17)
Daudi anajenga mazabahu (18-25)