WIMBO 41
Tafazali, Sikia Sala Yangu
Maandishi
	- 1. Baba yangu nakuimbia. - Nakuomba unisikie. - Jina yako ni kubwa sana. - (REFREE) - Baba, sikia sala yangu. 
- 2. Eh! Yehova aksanti sana - Kwa sababu niko muzima. - Nashukuru kwa kunilinda. - (REFREE) - Baba, sikia sala yangu. 
- 3. Ninapenda kufanya mema! - Nitembeze mu njia yako. - Nipe nguvu nivumilie. - (REFREE) - Baba, sikia sala yangu. 
(Ona pia Kut. 22:27; Zb. 106:4; Yak. 5:11.)