Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Zaburi 8
  • Tafsiri ya Ulimwegu Mpya

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

Zaburi—Yaliyomo

      • Utukufu wa Mungu na heshima ya mwanadamu

        • “Jinsi jina lako lilivyo kuu!” (1, 9)

        • ‘Mwanadamu anayeweza kufa ana faida gani?’ (4)

        • Mwanadamu avikwa taji la fahari (5)

Zaburi 8:utangulizi

Maelezo ya Chini

  • *

    Angalia Kamusi.

Zaburi 8:1

Maelezo ya Chini

  • *

    Au labda, “Wewe ambaye fahari yako inasimuliwa juu ya mbingu!”

Marejeo

  • +1Fa 8:27; Zb 104:1; 148:13

Zaburi 8:2

Marejeo

  • +Mt 21:16; Lu 10:21; 1Ko 1:27

Zaburi 8:3

Marejeo

  • +Zb 19:1; 104:19; Isa 40:26; Ro 1:20

Zaburi 8:4

Marejeo

  • +Mwa 1:29; 9:3; Zb 144:3; Mt 6:25, 30; Yoh 3:16; Mdo 14:17; Ebr 2:6-8

Zaburi 8:5

Maelezo ya Chini

  • *

    Au “kuliko malaika.”

Zaburi 8:6

Marejeo

  • +Mwa 1:26; 9:1, 2

Zaburi 8:7

Marejeo

  • +Mwa 1:28; 9:3

Jumla

Zab. 8:11Fa 8:27; Zb 104:1; 148:13
Zab. 8:2Mt 21:16; Lu 10:21; 1Ko 1:27
Zab. 8:3Zb 19:1; 104:19; Isa 40:26; Ro 1:20
Zab. 8:4Mwa 1:29; 9:3; Zb 144:3; Mt 6:25, 30; Yoh 3:16; Mdo 14:17; Ebr 2:6-8
Zab. 8:6Mwa 1:26; 9:1, 2
Zab. 8:7Mwa 1:28; 9:3
  • Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
Zaburi 8:1-9

Zaburi

Kwa kiongozi; juu ya Gitithi.* Muziki wa Daudi.

8 Ee Yehova Bwana wetu, jinsi jina lako lilivyo kuu katika dunia yote;

Umeweka fahari yako juu zaidi hata kuliko mbingu!*+

 2 Kutoka katika vinywa vya watoto wadogo na wanaonyonya+ umeimarisha nguvu

Kwa sababu ya maadui wako,

Ili kumnyamazisha adui na yule anayelipiza kisasi.

 3 Ninapoziona mbingu zako, kazi za vidole vyako,

Mwezi na nyota ambazo umetayarisha,+

 4 Mwanadamu anayeweza kufa ni nini hivi kwamba unamweka akilini,

Na mwana wa mtu hivi kwamba unamtunza?+

 5 Ulimfanya awe mdogo kidogo kuliko wale walio kama Mungu,*

Nawe ukamvika taji la utukufu na fahari.

 6 Ulimpa mamlaka juu ya kazi za mikono yako;+

Umeweka kila kitu chini ya miguu yake:

 7 Kondoo wote na ng’ombe wote,

Na pia wanyama wa mwituni,+

 8 Ndege wa angani na samaki wa baharini,

Kitu chochote kinachopita katika njia za baharini.

 9 Ee Yehova Bwana wetu, jinsi jina lako lilivyo kuu katika dunia yote!

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki