Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ezekieli 15
  • Tafsiri ya Ulimwegu Mpya

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

Ezekieli—Yaliyomo

      • Yerusalemu, mzabibu usiofaa (1-8)

Ezekieli 15:6

Marejeo

  • +Zb 80:14-16; Isa 5:24; Yer 7:20; Eze 20:47

Ezekieli 15:7

Maelezo ya Chini

  • *

    Tnn., “Nimeukaza uso wangu dhidi yao.”

  • *

    Tnn., “nitakapoukaza uso wangu dhidi yao.”

Marejeo

  • +Eze 6:7; 7:4

Ezekieli 15:8

Marejeo

  • +Isa 6:11; Yer 25:11; Eze 6:14
  • +2Nya 36:14

Jumla

Eze. 15:6Zb 80:14-16; Isa 5:24; Yer 7:20; Eze 20:47
Eze. 15:7Eze 6:7; 7:4
Eze. 15:8Isa 6:11; Yer 25:11; Eze 6:14
Eze. 15:82Nya 36:14
  • Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
Ezekieli 15:1-8

Ezekieli

15 Neno la Yehova likanijia tena likisema: 2 “Mwana wa binadamu, mbao za mzabibu hutofautianaje na za mti mwingine wowote au tawi la miti ya msituni? 3 Je, ufito wake unaweza kutumiwa kufanyia kazi? Au je, watu huutumia kutengeneza kijiti cha kuning’inizia vyombo? 4 Tazama! Hutupwa motoni uwe kuni, na moto huchoma miisho yote miwili na kuunguza katikati. Je, sasa unafaa kwa kazi yoyote? 5 Hata ulipokuwa mzima, haungetumiwa kwa chochote. Je, utakuwa na thamani yoyote baada ya kuchomwa na kuunguzwa na moto?”

6 “Kwa hiyo Bwana Mwenye Enzi Kuu Yehova anasema hivi: ‘Kama mbao za mzabibu kati ya miti ya msituni, ambazo nimezitoa ziwe kuni kwa ajili ya moto, ndivyo nitakavyoshughulika na wakaaji wa Yerusalemu.+ 7 Nimewakataa.* Wameponyoka kutoka motoni, lakini moto utawateketeza. Nanyi mtalazimika kujua kwamba mimi ni Yehova nitakapowakataa.’”*+

8 “‘Nami nitaifanya nchi iwe ukiwa+ kwa sababu wametenda kwa ukosefu wa uaminifu,’+ asema Bwana Mwenye Enzi Kuu Yehova.”

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki