Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Hesabu 11:25
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 25 Kisha Yehova akashuka katika wingu+ na kuzungumza naye,+ akachukua kiasi fulani cha roho+ iliyokuwa juu yake na kuiweka juu ya kila mmoja wa wale wazee 70. Na mara tu roho hiyo iliposhuka juu yao, wakaanza kutenda kama manabii,*+ lakini hawakufanya hivyo tena.

  • Hesabu 12:8
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 8 Mimi huongea naye uso kwa uso,*+ waziwazi, wala si kwa mafumbo; naye huona uwepo wangu, mimi Yehova. Kwa nini, basi, hamkuogopa kusema vibaya kumhusu Musa, mtumishi wangu?”

Tanzanian sign language publications (2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki