-
2 Wafalme 2:15Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
15 Wana wa manabii waliokuwa Yeriko walipomwona kwa mbali, wakasema: “Roho ya Eliya imetua juu ya Elisha.”+ Basi wakaenda kukutana naye na kumwinamia mpaka ardhini.
-