-
Zaburi 72:6Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
6 Atakuwa kama mvua inayonyeshea majani yaliyofyekwa,
Kama manyunyu ya mvua yanayoinywesha dunia.+
-
-
Methali 16:15Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
15 Katika nuru ya uso wa mfalme kuna uzima;
Kibali chake ni kama wingu la mvua wakati wa masika.+
-