-
Zaburi 13:1Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
13 Ee Yehova, utanisahau mpaka lini? Milele?
Utanificha uso wako mpaka lini?+
-
-
Yeremia 14:8Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
8 Ee tumaini la Israeli, Mwokozi wake+ wakati wa taabu,
Kwa nini wewe ni kama mgeni nchini,
Kama msafiri alalaye usiku mmoja tu?
-