Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Zaburi 22:16
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 16 Kwa maana mbwa wananizunguka;+

      Wananizingira kama kundi la watenda maovu,+

      Kama simba, wanaishambulia mikono yangu na miguu yangu.+

  • Mathayo 27:46
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 46 Karibu saa tisa, Yesu akapaza sauti, akisema: “Eli, Eli, lama sabakthani?” yaani, “Mungu wangu, Mungu wangu, kwa nini umeniacha?”+

  • Marko 15:34
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 34 Na saa tisa Yesu akapaza sauti: “Eli, Eli, lama sabakthani?” maneno hayo yanapotafsiriwa yanamaanisha, “Mungu wangu, Mungu wangu, kwa nini umeniacha?”+

Tanzanian sign language publications (2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki