-
Kutoka 15:6Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
6 Mkono wako wa kuume, Ee Yehova, una nguvu nyingi;+
Mkono wako wa kuume, Ee Yehova, unaweza kumvunjavunja adui.
-
-
Isaya 59:16Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
16 Aliona kwamba hakuna mtu,
Naye akashangaa kwamba hakuna yeyote aliyeingilia kati,
Basi mkono wake mwenyewe ukaleta wokovu,*
Na uadilifu wake mwenyewe ukamtegemeza.
-
-
Isaya 63:5Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
5 Nilitazama, lakini hapakuwa na yeyote wa kunisaidia;
Nilishangaa kwamba hakuna yeyote aliyenitegemeza.
-