-
Malaki 3:3Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
3 Naye ataketi kama msafishaji na mtakasaji wa fedha,+ naye atawatakasa wana wa Lawi; atawasafisha kama dhahabu na kama fedha, nao hakika watakuwa watu wanaomtolea Yehova zawadi kwa uadilifu.
-