Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Zaburi 8:3, 4
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    •  3 Ninapoziona mbingu zako, kazi za vidole vyako,

      Mwezi na nyota ambazo umetayarisha,+

       4 Mwanadamu anayeweza kufa ni nini hivi kwamba unamweka akilini,

      Na mwana wa mtu hivi kwamba unamtunza?+

  • Isaya 40:22
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 22 Kuna Yule anayekaa juu ya duara ya* dunia,+

      Na wakaaji wake ni kama panzi.

      Anazitandaza mbingu kama wavu laini,

      Naye huzitandaza kama hema la kuishi.+

  • Waroma 1:20
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
Tanzanian sign language publications (2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki