Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Marko 1:23-25
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 23 Wakati huohuo, kulikuwa na mtu katika sinagogi lao aliyekuwa na roho mwovu, naye akasema kwa sauti kubwa: 24 “Kwa nini unatusumbua, wewe Yesu Mnazareti?+ Je, umekuja kutuangamiza? Ninajua wewe ni nani, Mtakatifu wa Mungu!”+ 25 Lakini Yesu akamkemea, akisema: “Nyamaza, na umtoke!”

  • Marko 3:11, 12
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 11 Hata roho waovu,+ kila mara walipomwona, walianguka mbele yake na kupaza sauti wakisema: “Wewe ndiye Mwana wa Mungu.”+ 12 Lakini mara nyingi aliwaagiza kwa kusisitiza wasimtangaze.+

  • Luka 4:33-35
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 33 Basi katika sinagogi kulikuwa na mtu mwenye roho mwovu, naye akapiga kelele akisema:+ 34 “Ah! Kwa nini unatusumbua, wewe Yesu Mnazareti?+ Je, umekuja kutuangamiza? Ninajua wewe ni nani, Mtakatifu wa Mungu.”+ 35 Lakini Yesu akamkemea, akisema: “Nyamaza na umtoke.” Basi baada ya kumwangusha mtu huyo mbele yao, yule roho mwovu akamtoka bila kumuumiza.

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki