Tafsiri ya Ulimwegu Mpya 2 Wakorintho—Yaliyomo 2 WAKORINTHO YALIYOMO 1 Salamu (1, 2) Faraja kutoka kwa Mungu katika dhiki zote (3-11) Mabadiliko katika mipango ya safari za Paulo (12-24) 2 Paulo akusudia kuleta shangwe (1-4) Mtenda dhambi asamehewa na kurudishwa (5-11) Paulo huko Troa na Makedonia (12, 13) Huduma, maandamano ya ushindi (14-17) Si wachuuzi wa neno la Mungu (17) 3 Barua za mapendekezo (1-3) Wahudumu wa agano jipya (4-6) Utukufu ulio bora wa agano jipya (7-18) 4 Nuru ya habari njema (1-6) Akili za wasioamini zimepofushwa (4) Hazina katika vyombo vya udongo (7-18) 5 Kuvaa makao ya kimbingu (1-10) Huduma ya upatanisho (11-21) Kiumbe kipya (17) Mabalozi wa Kristo (20) 6 Fadhili za Mungu hazipaswi kutumiwa vibaya (1, 2) Huduma ya Paulo yafafanuliwa (3-13) Msifungwe nira isivyo sawa (14-18) 7 Tujisafishe unajisi (1) Shangwe ya Paulo kuhusu Wakorintho (2-4) Tito aleta habari nzuri (5-7) Huzuni ya kimungu na toba (8-16) 8 Mchango kwa ajili ya Wakristo wa Yudea (1-15) Tito kutumwa Korintho (16-24) 9 Wachochewa kutoa (1-15) Mungu humpenda mtoaji mchangamfu (7) 10 Paulo aitetea huduma yake (1-18) Silaha zetu si za kimwili (4, 5) 11 Paulo na mitume walio bora sana (1-15) Hali ngumu alizokabili Paulo akiwa mtume (16-33) 12 Maono ya Paulo (1-7a) “Mwiba katika mwili” wa Paulo (7b-10) Hajapungukiwa kuliko mitume walio bora sana (11-13) Paulo awahangaikia Wakorintho (14-21) 13 Maonyo ya mwisho na himizo (1-14) “Endeleeni kujijaribu kama mko katika imani” (5) Mrekebishwe upya; mfikiri kwa upatano (11)