Tafuta Majibu ya Maswali Haya:
1. Yehova anatafuta watu wa namna gani? (Yoh. 4:23, 24)
2. Roho takatifu inawezaje kutusaidia kumpa Yehova kilicho bora? (Mdo. 16:6-10; 1 Kor. 2:10-13; Flp. 4:8, 9)
3. Tunawezaje ‘kuifanya kweli iwe wazi’? (2 Kor. 4:1, 2)
4. Kuabudu katika kweli kunahusisha nini? (Met. 24:3; Yoh. 18:36, 37; Efe. 5:33; Ebr. 13:5, 6, 18)
5. Tunawezaje ‘kuinunua kweli na kutoiuza kamwe’? (Met. 23:23)
© 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
CA-copgm26-SW