Jumapili
“. . . na ndipo ule mwisho utakapokuja”—Mathayo 24:14
Asubuhi
- 3:20 Video ya Muziki 
- 3:30 Wimbo Na. 84 na Sala 
- 3:40 MFULULIZO: Waige Wale Waliokuwa na Imani Katika Habari Njema - • Zekaria (Waebrania 12:5, 6) 
- • Elisabeti (1 Wathesalonike 5:11) 
- • Maria (Zaburi 77:12) 
- • Yosefu (Methali 1:5) 
- • Simeoni na Ana (1 Mambo ya Nyakati 16:34) 
- • Yesu (Yohana 8:31, 32) 
 
- 5:05 Wimbo Na. 65 na Matangazo 
- 5:15 HOTUBA YA WATU WOTE: Kwa Nini Hatuogopi Habari Mbaya? (Zaburi 112:1-10) 
- 5:45 Muhtasari wa Mnara wa Mlinzi 
- 6:15 Wimbo Na. 61 na Mapumziko 
Alasiri
- 7:35 Video ya Muziki 
- 7:45 Wimbo Na. 122 
- 7:50 DRAMA YA USOMAJI WA BIBLIA: “Hakuna Kukawia Tena” (Ufunuo 10:6) 
- 8:20 Wimbo Na. 126 na Matangazo 
- 8:30 Umejifunza Masomo Gani? 
- 8:40 ‘Ishike Sana Habari Njema’—Kwa Nini na Jinsi Gani? (1 Wakorintho 2:16; 15:1, 2, 58; Marko 6:30-34) 
- 9:30 Wimbo Mpya Uliotungwa na Sala ya Mwisho