Jumapili
“Yehova anangoja kwa subira ili kuwaonyesha kibali”—Isaya 30:18
Asubuhi
- 3:20 Video ya Muziki 
- 3:30 Wimbo Na. 95 na Sala 
- 3:40 MFULULIZO: Iga Mfano wa Manabii Katika Kuonyesha Subira - • Eliya (Yakobo 5:10, 17, 18) 
- • Mika (Mika 7:7) 
- • Hosea (Hosea 3:1) 
- • Isaya (Isaya 7:3) 
- • Ezekieli (Ezekieli 2:3-5) 
- • Yeremia (Yeremia 15:16) 
- • Danieli (Danieli 9:22, 23) 
 
- 5:05 Wimbo Na. 142 na Matangazo 
- 5:15 HOTUBA YA WATU WOTE: Je, Mungu Atajibu Sala Zako? (Isaya 64:4) 
- 5:45 Muhtasari wa Mnara wa Mlinzi 
- 6:15 Wimbo Na. 94 na Mapumziko 
Alasiri
- 7:35 Video ya Muziki 
- 7:45 Wimbo Na. 114 
- 7:50 DRAMA: “Mkabidhi Yehova Njia Yako”—Sehemu ya 2 (Zaburi 37:5) 
- 8:30 Wimbo Na. 115 na Matangazo 
- 8:40 “Yehova Anangoja kwa Subira ili Kuwaonyesha Kibali” (Isaya 30:18-21; 60:17; 2 Wafalme 6:15-17; Waefeso 1:9, 10) 
- 9:40 Wimbo Mpya Uliotungwa na Sala ya Mwisho