‘Abudu kwa Roho na Kweli’
Asubuhi
- 3:40 Muziki 
- 3:50 Wimbo Na. 85 na Sala 
- 4:00 “Baba Anawatafuta Watu wa Namna Hiyo” 
- 4:15 Mfululizo: ‘Abudu kwa Roho’ - • Unapojitahidi Kuelewa Mwongozo Ambao Yehova Anatoa 
- • Unapohisi Umevunjika Moyo 
- • Unapojitahidi Kufanya Mengi Zaidi Katika Utumishi wa Yehova 
 
- 5:05 Wimbo Na. 88 na Matangazo 
- 5:15 Jinsi ya ‘Kuifanya Kweli Iwe Wazi’ 
- 5:35 Ubatizo: Maana ya Ubatizo Wako 
- 6:05 Wimbo Na. 51 
Alasiri
- 7:20 Muziki 
- 7:30 Wimbo Na. 72 na Sala 
- 7:35 Hotuba ya Watu Wote: Unawezaje Kutofautisha Mema na Mabaya? 
- 8:05 Muhtasari wa Mnara wa Mlinzi 
- 8:35 Wimbo Na. 56 na Matangazo 
- 8:45 Mfululizo: ‘Abudu kwa Kweli’ - • Katika Familia 
- • Katika Ulimwengu Uliogawanyika 
- • Unapokabili Hali Ngumu za Kiuchumi 
 
- 9:30 “Inunue Kweli Wala Usiiuze Kamwe” 
- 10:00 Wimbo Na. 29 na Sala