WIMBO NA. 103
Wachungaji—Zawadi Katika Wanadamu
- 1. Mungu ametuandalia, - Wachungaji wake. - Wanatuwekea mfano, - Jinsi ya kwenenda. - (KORASI) - Mungu atupa wanaume, - Wanaotegemeka. - Wanahangaikia kundi; - Waungeni mkono. 
- 2. Wachungaji watupendao; - Wanatuongoza. - Maneno yao hufariji, - Tunapoumia. - (KORASI) - Mungu atupa wanaume, - Wanaotegemeka. - Wanahangaikia kundi; - Waungeni mkono. 
- 3. Watumia Neno la Mungu, - Tusikengeushwe. - Tupate kuishi Kikristo, - Tupendeze Mungu. - (KORASI) - Mungu atupa wanaume, - Wanaotegemeka. - Wanahangaikia kundi; - Waungeni mkono. 
(Ona pia Isa. 32:1, 2; Yer. 3:15; Yoh. 21:15-17; Mdo. 20:28.)