WIMBO NA. 49
Kufurahisha Moyo wa Yehova
- 1. Mungu nadhiri twaweka; - Kazi yako tutafanya. - Kufanya mapenzi yako - Hukufurahisha moyo. 
- 2. ‘Mtumwako mwaminifu,’ - Sifa zako hutangaza. - Anatulisha kiroho, - Ili tukutumikie. 
- 3. Tupe roho takatifu, - Tuwe washikamanifu. - Tufanye uyapendayo, - Moyo wako ufurahi. 
(Ona pia Mt. 24:45-47; Luka 11:13; 22:42.)