Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • dx96-12
  • Umoja wa Mataifa

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Umoja wa Mataifa
  • Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012
  • Vichwa vidogo
  • Manukuu
Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012
dx96-12

UMOJA WA MATAIFA

(Ona pia Ushirika wa Mataifa)

(Kuna kichwa kidogo: Manukuu)

dini zinaunga mkono Umoja wa Mataifa:

mapapa: re 243; rs 366; w97 5/1 15; g96 7/8 22-23

Mkutano wa Milenia wa Viongozi wa Kidini na Kiroho Kuhusu Amani ya Ulimwengu (2000): w01 3/15 32

haki za binadamu: g98 11/22 6-7

azimio kuhusu wajibu wa wanadamu lapendekezwa: g99 1/8 13

Azimio la Haki za Kibinadamu kwa Wote: g 8/09 4; g05 9/22 3-4; g98 11/22 3-5, 8-10; w97 2/1 3

Azimio la Haki za Mtoto: g00 12/8 3, 5

Azimio la Umoja wa Mataifa Kuhusu Haki za Wenyeji wa Asili (2007): g 9/09 30

Kamati ya Haki za Kibinadamu yachunguza kesi za Mashahidi wa Uturuki (2009): yb10 23

Kamati ya Haki za Kibinadamu yatetea msimamo wa Mashahidi wa kukataa kujiunga na jeshi nchini Korea Kusini (2006): yb09 23; yb08 17-18

Mkataba wa Haki za Mtoto: g03 2/8 8; g00 12/8 4

Mswada wa Kimataifa wa Haki za Kibinadamu: g98 11/22 7

Ofisi ya Mjumbe Mkuu wa Haki za Kibinadamu: g98 11/22 6

Hazina ya Watoto ya Umoja wa Mataifa (UNICEF): g00 12/8 3, 8

afya ya watoto: g97 9/22 11

gharama ya mahitaji ya msingi: g97 1/22 28

Mkutano wa Kimataifa Kuhusu Matibabu ya Msingi (1978): g04 5/22 11

mwito wa “ulimwengu mpya katika kizazi kimoja” (2000): w02 6/15 3

ripoti kuwahusu watoto ulimwenguni: g05 9/8 29; g00 11/8 28; g00 12/8 4-5

jitihada za kudumisha amani: g99 8/8 28; g96 4/22 3

katibu mkuu:

maelezo ya Boutros Boutros-Ghali: g96 4/22 3

maelezo ya Javier Pérez de Cuéllar: re 248

maelezo ya Kofi Annan: w06 1/1 3-4; g05 2/22 5; g04 3/22 7; g03 4/8 3; w00 6/15 32

maelezo ya U Thant: w05 6/1 5

Kongamano la Milenia: g05 7/22 12-13

Kongamano la UM la Kupambana na Ugeukaji wa Bara Kuwa Jangwa: g97 2/8 16-17

maadhimisho:

shirika la Umoja wa Mataifa laadhimisha mwaka wa 20: re 243

shirika la Umoja wa Mataifa laadhimisha mwaka wa 50: g96 4/22 28

maoni ya Kikristo:

Umoja wa Mataifa ni Ufalme bandia wa Kimasihi: re 248-249

maoni ya Mashahidi: jv 192-193

Mashahidi walitabiri kwamba shirika la Umoja wa Mataifa lingetokea: re 246-248; jv 192

masuala ya makao (Habitat Agenda) (1996, 2002): g05 9/22 4, 9, 11

miradi (malengo):

kufikia mwaka wa 2015: g 1/06 7

mradi wa kuandaa maji (1981-1990): g97 8/22 6

Mwaka wa Amani wa Kimataifa (1986):

dini ziliunga mkono: re 249-251

Kanisa Katoliki lapanga “Siku ya Ulimwengu ya Sala kwa Ajili ya Amani,” huko Assisi, Italia: re 249-251

shirika la Umoja wa Mataifa lilishindwa kuleta amani: re 249-250

Mwaka wa Kimataifa wa Milima (2002): g05 3/22 5

Mwaka wa Kimataifa wa Mtoto (1979): g00 12/8 3-4

Mwaka wa Kimataifa wa Unamna-namna wa Viumbe (2010): g 4/12 25

Mwaka wa Kimataifa wa Utamaduni wa Amani (2000): w01 1/1 32

Mwaka wa Kimataifa wa Wafanyakazi wa Kujitolea (2001): g01 7/22 5

Mwaka wa Kimataifa wa Watu Wazee (1999): g99 7/22 3

mwisho watabiriwa: re 248

Mwongo wa Kuondoa Umaskini (1997-2006): g98 6/8 4

nchi wanachama: re 248

jitihada za kuondoa Vatikani: g00 10/22 31

Uswisi yajiunga na Umoja wa Mataifa: g02 11/22 29

Papa John Paul wa Pili atembelea Umoja wa Mataifa (1995): g96 7/8 22-25

Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO):

dharura ya kifua kikuu (TB): g96 8/8 28; g96 11/8 29

jinsi maisha ya nchi za Magharibi yanavyoathiri nchi zinazoendelea: g98 2/8 30

kampeni ya kuwachochea watu wawe na mazoea yanayolinda afya: g97 11/8 29

laonya kuhusu homa ya mafua: g99 9/8 29

Mkutano wa Kimataifa Kuhusu Matibabu ya Msingi (1978): g04 5/22 11

ofisa asifu gazeti Amkeni!: w06 12/15 11

pengo kati ya nchi zilizoendelea na nchi zinazoendelea: g96 3/8 29

ripoti kuhusu afya ulimwenguni: g99 9/22 19; g97 11/8 29; g96 3/22 24

ripoti kuhusu huduma za afya: g 7/12 6

ripoti kuhusu vifo vinavyosababishwa na mazingira: g96 3/22 24

tatizo kubwa la viini sugu: g 7/12 6; g 10/12 27; g03 10/22 3, 8-11

Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO):

Mkutano wa Chakula Ulimwenguni (1996): g03 2/22 5-6; g97 8/8 12-14

ripoti kuhusu njaa: w05 10/1 5; g05 9/22 29

Shirika la Chakula Ulimwenguni: w05 2/15 32

shirika la Umoja wa Mataifa laanzishwa: re 248

shirika la Umoja wa Mataifa la Mazingira (UNEP):

Bahari ya Mediterania: g99 1/8 17

maelezo kuhusu mazingira ya wakati ujao: w07 5/15 3; g04 2/8 31

shirika la Umoja wa Mataifa limeshindwa:

kukomesha njaa: g05 7/22 12-13

kuleta amani: re 249-251; w04 8/1 3-4; w01 1/1 32; w97 5/1 15-17

mipango ya kuwasaidia vijana: g99 1/8 31

shirika la Umoja wa Mataifa linafananishwa na—

Ashuru (Isa 10, 33): ip-1 152-154, 345-346

“chukizo” (Da 11:31): dp 267, 269

“chukizo” (Mt 24:15; Mk 13:14): w96 6/1 17

“mfalme wa nane” (Ufu 17:11): re 253-254

“mnyama-mwitu mwenye rangi nyekundu” (Ufu 17): re 240-243, 246-258; w96 6/1 18

“sanamu ya mnyama-mwitu” (Ufu 13:14, 15): re 194-195, 240-241

shirika la Umoja wa Mataifa litaharibu dini: w12 6/15 18; w12 9/15 5; re 256-258; w96 6/1 18

Shirika la Wafanyakazi Ulimwenguni (ILO):

ripoti kuhusu utumwa: g 3/06 29

taarifa za kuliunga mkono: w99 4/15 32

unavyofanana na Ushirika wa Mataifa: re 248

UNESCO (Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi, na Utamaduni):

maeneo mbalimbali yanayostahili kuhifadhiwa: g 12/11 12; g 5/08 24; g 10/08 14-15; g 1/07 23-26; g 7/07 15; g 12/07 19; g 3/06 14

uvutano wa dini juu ya Umoja wa Mataifa: re 243

Manukuu

baraza kuu la amani na haki: re 243

shirika la ulimwengu lisilo na utu wa kutosha: g96 4/22 28

tumaini la mwisho la upatano na amani: re 243; rs 366; w97 5/1 15

tunaishi katika enzi nyingine ya washupavu, na sisi hatujui la kufanya juu ya hilo: re 248

twafanya maendeleo kuelekea kupata mfumo wa kimataifa uwezao kutenda: g96 4/22 3

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki