Biblia—Tafsiri ya Ulimwengu Mupya Habari Zenye Kuwa Katika Amosi AMOSI HABARI ZENYE KUWA NDANI 1 Amosi anapokea ujumbe kutoka kwa Yehova (1, 2) Hukumu kwa sababu ya kuasi tena na tena (3-15) Siria (3-5), Ufilisti (6-8), Tiro (9, 10), Edomu (11, 12), Amoni (13-15) 2 Hukumu kwa sababu ya kuasi tena na tena (1-16) Moabu (1-3), Yuda (4, 5), Israeli (6-16) 3 Kutangaza hukumu ya Mungu (1-8) Mungu anafunua jambo lake la siri (7) Ujumbe wa hukumu juu ya Samaria (9-15) 4 Ujumbe wa hukumu juu ya ngombe wa Bashani (1-3) Yehova anachekelea ibada ya uongo ya Israeli (4, 5) Israeli anakataa nizamu (6-13) “Ujitayarishe ili kukutana na Mungu wako” (12) ‘Mungu anajulisha mwanadamu mawazo Yake ni nini’ (13) 5 Israeli ni kama bikira mwenye ameanguka (1-3) Mumutafute Yehova na muendelee kuishi (4-17) Muchukie mabaya, mupende mema (15) Siku ya Yehova itakuwa siku ya giza (18-27) Zabihu za Israeli zinakataliwa (22) 6 Ole kwa watu wenye hawajali! (1-14) Vitanda vya pembe za tembo; mabakuli ya divai (4, 6) 7 Maono yenye kuonyesha kwamba mwisho wa Israeli unakaribia (1-9) Nzige (1-3), moto (4-6), kamba ya kupima usawa (7-9) Amosi anaambiwa aache kutoa unabii (10-17) 8 Maono ya kitunga cha matunda ya kipindi cha joto (1-3) Wakandamizaji wanalaumiwa (4-14) Njaa ya kiroho (11) 9 Hukumu za Mungu haziepukike (1-10) Kibanda cha Daudi kitasimamishwa (11-15)