Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Zaburi 91:3
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    •  3 Kwa maana atakuokoa usinaswe na mtego wa mwindaji wa ndege,

      Kutoka kwa ugonjwa wa kuambukiza unaoangamiza.

  • Zaburi 124:6-8
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    •  6 Yehova na asifiwe,

      Kwa maana hakututia katika meno yao kama mawindo.

       7 Sisi* ni kama ndege aliyeponyoka

      Kutoka katika mtego wa mwindaji;+

      Mtego ulivunjika,

      Nasi tukaponyoka.+

       8 Msaada wetu uko katika jina la Yehova,+

      Muumba wa mbingu na dunia.”

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki