Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • dx96-12
  • China

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • China
  • Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012
  • Vichwa vidogo
  • Mashahidi wa Yehova
Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012
dx96-12

CHINA

(Ona pia Kichina; Taiwan; Wachina)

(Kuna kichwa kidogo: Mashahidi wa Yehova)

afya na magonjwa:

unene unaopita kiasi: g 5/06 14

vifo vinavyosababishwa na tumbaku: g99 11/8 32

Beijing:

mbwa mmoja tu huruhusiwa katika kila nyumba: g 9/07 21

vifuniko vya mashimo ya maji machafu vyaibwa: g96 4/8 28

bustani: g97 4/8 6

Bwawa la Three Gorges lajengwa kwenye Mto Yangtze: g99 6/8 28-29

chakula:

wanyama pori: g00 11/8 29

dini: g 1/08 30; w03 12/1 3; jv 489-490

Biblia yasifiwa: la 11

Dini ya Confucius (Konfyushiasi): ie 12

Dini ya Tao: ie 11-12

tafsiri za Biblia: w09 6/1 10-11; g 11/07 30; ba 12-13

uchapishaji wa Biblia: g 11/11 29; g 9/08 29; g99 8/8 29

uvutano unapungua: re 229

wamishonari wa dini zinazodai kuwa za Kikristo: re 263

elimu ya nyota:

mlipuko wa nyota ulionekana (1054): g96 1/22 8

elimu ya vitu vya kale:

hekalu linalofanana na minara ya Mesopotamia: g97 11/8 28-29

matangazo ya kale ya biashara: g02 6/22 28-29

ramani ya kale inayoonyesha umbali: g99 3/8 29

sanamu za askari-jeshi zilizotengenezwa kwa udongo (Xi’an): g05 12/8 21; g01 5/8 29

tambi (chakula): g 10/06 30

familia:

mahangaiko kuhusu kuwalea watoto: g98 2/22 29

historia:

mwanzo: g98 11/22 29

safari za Marco Polo: g04 6/8 23-27

uhusiano kati ya China na Mesopotamia: g97 11/8 28-29

utawala wa ukoo wa mfalme Han: w09 1/1 23

Wamongolia wavamia China (miaka ya 1200): g 5/08 13-15

idadi ya watu: g01 11/8 28

watu wengi wa jinsia moja: g 10/07 30; g03 10/8 29

wazee: g97 1/22 28

jangwa: g 7/06 29; g05 1/8 6; g01 1/22 28-29

kilimo: g 4/07 30

bata na kuku wamaliza baa la nzige: g01 5/8 28

mashine za kuvuna: g97 6/22 28-29

“ukuta mkubwa wa kijani kibichi”: g 7/06 29

kuwafuga nondo wa hariri: g 6/06 24

maadili: g 4/07 3

vijana: g99 7/22 29

magari: g05 1/22 28; g05 5/22 29; g04 9/8 28

maji:

upungufu wa maji safi: g 5/07 11

majina: g 4/08 30

tatizo la watu wengi kuwa na jina lilelile: g96 4/8 28-29

misiba inayosababishwa na hali mbaya ya hewa:

ukame, vimbunga, mafuriko (2007): g 8/08 30

moto wa miaka 100 wazimwa: g96 8/22 28

Mto Li: w04 3/15 8-9

ponografia: g 3/12 28

reli kati ya Shanghai na uwanja wa ndege wa Pudong (maglev): g 11/08 24-25

reli kuanzia Beijing mpaka Lhasa, Tibet: g 3/07 22

sayansi:

mradi wa kutuma vyombo angani: g02 10/22 28

tiba:

maumivu ya kichwa ya miaka 64 yaisha baada ya mwanamke kuondolewa risasi kichwani: g 3/08 27

uchafuzi:

uchafuzi wa maji: g 5/07 11; g97 4/8 28

uchumi:

watu wenye mabilioni ya dola: g 10/08 30

uhalifu:

biashara haramu ya kuwasafirisha na kuwauza binadamu: g 6/11 29

Ukuta Mkubwa: g04 11/22 28

utengenezaji wa bidhaa:

karatasi kwa ajili ya uchapaji: g02 6/22 29

uvutaji wa sigara: g00 8/22 28; g99 11/8 32; g96 1/22 19-20

vita:

Vita vya Kasumba: re 263

Vitabu Bora Sana Vitano: g05 5/22 19-20

wanyama:

swala mwekundu wa Tibet amepatikana tena (1998): g98 10/22 29

watawala:

utawala wa ukoo wa mfalme Ch’in: g05 12/8 21

utawala wa ukoo wa mfalme Jin (“Kidhahabu”): g 5/08 13-14

utawala wa ukoo wa mfalme Sung: g 5/08 14-15

utawala wa ukoo wa mfalme Yuan: g 5/08 13, 15

watoto na vijana:

maadili: g99 7/22 29

wachezaji sugu wa michezo ya Intaneti: g 8/06 19

yashefi (jiwe la thamani): w04 9/15 29

Mashahidi wa Yehova

historia ya siku hizi: jv 489-490

kazi ya kuhubiri ilivyoanza: jv 418-421, 441, 535

maeneo mbalimbali:

Shanghai: jv 454

makolpota (watumishi wa wakati wote): jv 489

makusanyiko ya wilaya na ya kimataifa: jv 454

mambo yaliyoonwa utumishini:

Chiang Kai-shek ahubiriwa: jv 456

mapainia: jv 457, 489

marufuku (1958): jv 490

mateso (mnyanyaso): jv 490

ongezeko: jv 490

ujumbe wasambazwa kwa redio: jv 489

vitabu na magazeti:

vyaletwa kutoka Myanmar (Burma) (Vita vya Pili vya Ulimwengu): jv 455-456

wamishonari: jv 489-490, 535

watu mbalimbali:

Downing, Bi. C. B.: jv 418

Hollister, Robert R.: jv 421, 423

Jones, Stanley E.: jv 489-490

King, Harold G.: jv 243-244, 489-490

Lew, Ti Himm: jv 489

Mackenzie, Fanny: jv 423-424

Oates, Hector: jv 455-456

Paton, Fred: jv 455-456

Randle, Horace: jv 418

Yuen, Nancy: jv 490

ziara za—

Russell, C. T.: jv 419-420, 489

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki